Mwenye Taqwa Ni Yule Ambaye Anakuwa Mnyenyekevu Kwa Haki Na Kwa Viumbe Pindi Neema Ya Allaah Inapomzidia
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
Uhakika wa mwenye taqwa ni yule ambaye kila pale neema ya Allaah inapozidi kwake, basi yeye huzidi tawaadhwu’ (unyenyekevu) kwa haki na kwa viumbe.
[Al-Qawl Al-Mufiyd, uk. 379]