Shaykh Fawzaan - Umejiandaaje?

Umejiandaaje?
 
Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu-Allaah)
 
 
 
 
Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah) amesema:
 
 
"Si katika hikmah kuulizia kuhusu Qiyaamah, bali hikmah ni kuuliza kile unachokifanya na vipi umejiandaa na hiyo siku (Qiyaamah)."
 
[Al-Mihnatu Ar-Rabaaniyyah, uk. 89]
 
 
Share