Uhasidi Ni Kupinga Qadhwaa Ya Allaah Na Qadar Yake
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
Uhasidi ni kupinga Qadhwaa (Hukmu) ya Allaah na Qadar (Qudra) Yake kwa sababu kuhusudu ni kutoridhika kwamba Allaah Amempa mtu huyu mali au Amempa 'ilmu.
[Sharh Riyaadhw Asw-Swaalihiyn (1569)]