Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Uhuru Wa Kweli Ni Kumtii Allaah Si Kujiachia Mtu Kufanya Kila Anachotaka Kufanya

Uhuru Wa Kweli Ni Kumtii Allaah Si Kujiachia Mtu Kufanya Kila Anachotaka Kufanya

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Amesema Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah):

 

“Uhuru wa kweli ni kusimama katika utiifu kwa Allaah (‘Azza wa Jalla) wala si mtu kujiachia kufanya kila analotaka kufanya.”

 

 

[Silsilatu Sharhi Al-Arba’iyn An-Nawawiyyah, Hadiyth Namba (63)]

 

 

Share