Shaykh Fawzaan - Hatutafuti Radhi Za Watu, Tunatafuta Radhi Za Allaah

Hatutafuti Radhi Za Watu, Tunatafuta Radhi Za Allaah
Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)
 
 
 
Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah) amesema:
 
 
"Hatutafuti radhi za watu.
Hatutafuti sifa kutoka kwa watu.
Tunachokitaka ni kumridhisha Allaah Ta'aalaa."
 
 
[Maswali Na Majibu Muhimu Kuhusiana Na Manhaj Ya Salafiy, uk.30]
 
 
 
Share