Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Ombeni Daima Kuthibitika Katika Iymaan Na Mkhofu Kuangamia

 

 

Ombeni Daima Kuthibitika Katika Iymaan Na Mkhofu Kuangamia

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema: “Nausia nafsi yangu na nakuusieni kwamba tumuombe Allaah daima kuthibitika katika iymaan na kwamba mukhofu kwani chini ya miguu yenu kuna vitelezo, basi ikiwa Allaah Hatokuthibitisheni, mtaangukia katika maangamizi.”

 

[Ash-Sharh Al-Mumti’ 5/388]

Share