Imaam Ibn Taymiyyah: Al-Isti’aanah (Kumuomba Msaada Allaah) Na Tawakkul Kisha Subra

 

Al-Isti’aanah (Kumuomba Msaada Allaah) Na Tawakkul Kisha Subra

 

www.alhidaaya.com

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

 

 

 

 

Shaykhul-Islaam Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:

 

 

 

“Kwa hakika Al-Isti’aanah (Kuomba msaada kwa Allaah) na Tawakkul (Kumtegemea Allaah) inahusiana na mustakbali. Ama kwa yaliyokwishatokea basi kunahitaji subira, kujisalimisha Kwake na kuridhia.” [Majmu’uw Al-Fataawaa 13/321]

 

 

Share