Imaam Ibn Rajab: Watu Wa Maasi Wanaharakishwa Kwanza Adhabu Yao Duniani

 

Watu Wa Maasi Wanaharakishwa Kwanza Adhabu Yao Duniani

 

Imaam Ibn Rajab (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Rajab (Rahimahu-Allaah) amesema:

 

“Watu wa maasi wenye kukengeuka, Allaah Anawaharakishia hapa duniani mifano ya adhabu ya Jahannam yenye kujulikana kama uzoefu. Kwa hiyo  usiulize zile hali zao za dhiki ya kifua na fedheha waliyonayo na udhalili. Haya ni katika mashaka na taabu za Jahiym waliyoharakishiwa.”

 

 

[Latwaaif Al-Ma’aarif  (uk. 324)]

 

 

Share