Kababu Za Rojo La Nyanya

Kababu Za Rojo La Nyanya

Vipimo 

Vitu Vya Kababu

Nyama ya kusaga - 4 LB

Vitunguu maji (chopped)  - 3

Mayai - 4

Breadcrumbs -  ½ cup

Pilipili mbichi (chopped au ya kusaga) - 1 tabelspoon

Jeera (Cummin powder) - 1 tablespoon

Dania (Corriander powder) - 1 tablespoon

Kotmiri fresh (chopped) -  kiasi upendavyo

Salt - kiasi 

Vitu Vya Rojo

Mafuta - kiasi

Vitunguu maji (sliced) -  2 

Tomatoes (crushed au chopped) -  4

Tomatoe paste -  3 tablespoon

Kotmiri (chopped) -kiasi

Pilipili manga (powder) - 1 teaspoon  

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

1. Changanya vitu vyote vya kabab na fanya duara (flat) uweke katika tray ya kupikia katika oven

2. Choma (bake) kwa moto wa 350 mpaka Kabab ziwive takriban kama kwa dakika 45

3. Kaanga vitunguu na vikianza tu kulainika kabla ya kugeuka rangi tia tomatoes na tomatoe paste kaanga

    kidogo.

4. Mwagia rojo juu ya Kabaab na mwagia kotmiri mwisho zikiwa tayari.

 

 

 

Share