Mishkaki Ya Matunda Mchanganyiko

Mishkaki Ya Matunda Mchanganyiko

 

 

Vipimo

 

Embe

Nanasi

Stroberi (Strawberries)

Cheri (Cherries)

Machungwa  

Tikiti la asali (Honey Dew)

Shammaam (tikiti, cantelope) 

Ndizi

Tufafaha (Apple)

Zabibu za kijani

Zabibu nyekundu

Tikiti la maji (water melon/Batwwiykh)

Peya (Pear)

Na matunda yoyote mengineyo upendayo

 

Namna Ya Kutayarisha

  1. Menya matunda yanayohitaji kumenyewa
  2. Kata Kata vipande vipande vya kiasi
  3. Tunga katika vijiti vya mishkaki
  4. Panga kwenye sahani ya kupakuliwa                                  

 

Vidokezo:

 

Zabibu, Stroberi, Cheri hazina haja ya kukatwa, zitunge nzima nzima.
Mishkaki ya matunda inapendeza kuiweka katika kikapu (basket).  

       

Share