Maandazi Ya Kukandiwa Kwa Maziwa
Vipimo
Unga - 4 vikombe vya chai
Sukari - 1 kikombe cha chai
Hamira - 1 kijiko cha chai
Samli - 1 kijiko cha chai
Maziwa - 1 ½ kikombe cha chai
Hiliki - kiasi
Mafuta ya kukaangia - kiasi
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kuburudika)