Imaam As-Sa'dy: Ikhlaasw Katika ‘Ibaadah Ni Msingi Wa Dini

Ikhlaasw Katika ‘Ibaadah Ni Msingi Wa Dini

 

Imaam As-Sa’diy (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam As-Sa’diy (Rahimahu-Allaah) amesema: 

 

“Ikhlaasw kwa Allaah (Kumsafishia niyyah) ni msingi wa Dini na ni kiini cha Tawhiyd na ‘ibaadah. Nayo ni mja kukusudia ‘amali zake zote kwa ajili ya kutafua radhi za Allaah na thawabu Zake na Fadhila Zake.”  [Al-Qawl As-Sadiyd (1/147)]

 

­­­­­

 

Share