Boga la kastadi
.jpg)
VIPIMO
Boga 2Lb
Sukari Nusu kikombe (ukipenda zaidi)
Hiliki 1 Kijiko cha chai
Castard 1 ½ Kijiko cha supu
Nazi 2 Vikombe
NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA
1) Ondoa maganda ya boga na ukate vipande vipande vya kaisi.
2) Chemsha Boga mpaka liwive kisha limwage maji.
3) Changanya custard na nazi pamoja halafu mimina kwenye boga .
4) Weka sukari na hiliki kwenye boga
5) liwache lichemke kidogo
6) Subiri lipoe na kwa tayari kuliwa.
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha


