Nasaha Na Ukumbusho Wa Swawm Ya ‘Arafah Ili Ufutiwe Madhambi Ya Miaka Miwili!

Nasaha Na Ukumbusho wa Swawm Ya ‘Arafah Ili Ufutiwe Madhambi Ya Miaka Miwili!

 

Alhidaaya.com

 

Ndugu Waislamu tunapenda kuwakumbusha na kuwapa nasaha ya kufunga Swawm siku ya 'Arafah tarehe 9 Dhul-Hijjah ambayo fadhila yake ni kufutiwa madhambi ya miaka miwili kwa dalili ifuatayo:  

 

عَنْ أَبِي قَتَادَةَ رضي الله عنه أن النَّبِيَّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: ((صِيَامُ يَوْمِ عَرَفَةَ أَحْتَسِبُ عَلَى اللَّهِ أَنْ يُكَفِّرَ السَّنَةَ الَّتِي قَبْلَهُ وَالسَّنَةَ الَّتِي بَعْدَهُ )) أخرجه مسلم

Abuu Qataadah (Radhwiya Allaahu 'anhu) amehadithia kwamba Nabiy Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam amesema: ((Swawm ya 'Arafah nataraji (kwa Allaah) kufuta madhambi ya mwaka uliopita na wa baada yake.” [Muslim]

 

Bonyeza Hapa upate: Fadhila Za Siku Ya 'Arafah Na Yawmun-Nahr (Siku Ya Kuchinja)

 

Bonyeza Hapa Upate Hukmu Ya Swawm Ya 'Arafah Inapoangukia Ijumaa Au Jumamosi

 

Bonyeza hapa upate Takbira:

 

 

Share