Mafunzo Ya Minasaba

Mafunzo Ya Minasaba

Mafunzo Ya Minasaba

 

 

Katazo La Swiyaam (Funga) Ayyaamut-Tashriyq:

Tarehe 11, 12, 13 Dhul-Hijjah  Na Amali Za Kutenda

 

 Alhidaaya.com

 

 

Walio na ada ya kufunga Swawm za Sunnah za Jumatatu na Alkhamiys, au Ayyaamul-Biydhw haitoruhusiwa kufunga tarehe hizo kwani ni katika masiku yaliyokatazwa kufungwa.

  

Ayyaamut-Tashriyq ni masiku ya kula na kunywa; yanayoanzia siku ya pili baada ya ‘Iydul-Adhwhaa ambayo ni tarehe 11, 12 na 13 Dhul-Hijjah. Masiku haya yameitwa At-Tashriyq kwa sababu Hujaji walikuwa wakikata nyama vipande vipande na kuanikwa juani. Na pia imeitwa At-Tashriyq kwa sababu Swalaah ya 'Iyd huswaliwa baada ya kuchomoza jua, na ndio masiku matatu yaliyofuatia yakajulikana kwa jina hilo. Na pi siku hizi hujulikana kwa: ‘Siku za Minaa'

 

Katazo La Swawm Na 'Amali Za Kutenda:

 

 

a) Haifai Swawm (kufunga) katika Ayyamut-Tashriyq: 

 

Haifai kufunga masiku haya ya Tashriyq hata kama mtu alikuwa na mazowea ya Swawm za Sunnah kama vile Jumatatu, Alkhamiys au Ayyaamul-Biydhw. Dalili ya makatazo ni katika Hadiyth ifuatayo:   

 

عن أبي هريرة  أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ بَعَثَ عَبْدَ اللَّهِ بْنَ حُذَافَةَ يَطُوفُ فِي مِنًى أَنْ: ((لَا تَصُومُوا هَذِهِ الْأَيَّامَ فَإِنَّهَا أَيَّامُ أَكْلٍ وَشُرْبٍ وَذِكْرِ اللَّهِ عَزَّ وَجَلَّ))

Abuu Hurayrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) amehadithia kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alimtuma 'Abdullaah bin Hudhaafah azunguke Minaa na atangaze: "Msifunge siku hizi, kwani hizi ni siku za kula na kunywa na kumdhukuru Allaah ‘Azza wa Jalla.” [At-Twabariy 4: 211]

 

Lakini anaweza mtu kufunga tarehe 14, 15 na 16 kukamilisha siku tatu ili apate fadhila za kufunga siku tatu kila mwezi. [Fataawaa ibn Baaz]

 

 

b) Kumdhukuru Allaah ('Azza wa Jalla) kwa Wingi:

 

Katika siku hizi inampasa Muislamu azidishe kumdhukuru Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) kama Anavyosema:

((وَاذْكُرُواْ اللّهَ فِي أَيَّامٍ مَّعْدُودَاتٍ)

((Na mdhukuruni Allaah katika siku za kuhesabika.)) [Al-Baqarah: 203]

 

Ibn 'Abbaas (Radhwiya Allaahu 'anhumaa) amesema: Siku za kuhesabika ni siku za tashriyq (11, 12, 13 Dhul-Hijjah) na siku maalumu ni siku za kumi za mwanzo za Dhul-Hijjah. [Al-Qurtwubiy: 3.3]

 

Pia kutamka Tabkiyr Al-Muqayyad (Takbiyr za kuthibitika mahali maalumu na nyakati maalumu za kukadirika) imekusudiwa kila baada ya Swalaah ya fardhi. Rejea kiungo kifutacho kupata maelezo na faida:

 

Amali Za Kutenda Ayyaamut-Tashriyq: Tarehe 11, 12, 13 Dhul-Hijjah Na Katazo La Swiyaam

 

 

Ukumbusho Wa Takbiyr Katika Masiku Kumi Na Tatu Ya Dhul-Hijjah: Tarehe 1–13 Dhul-Hijjah

 

 

Siku Kumi Bora Kabisa Za Allaah - 01 - 10 Dhul-Hijjah

 

 

Mdhukuru Allaah Kwa Wingi Na Omba Maghfirah Baada Ya Kutenda Mema Katika Siku Kumi Bora Kabisa Za Allaah

 

12-Dhul-Hijjah: Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri: Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

 

 

Fataawaa:

 

 

 

 

Wa biLlaahi At-Tawfiyq

 

 

 

Mafunzo Ya Minasaba

'Amali Za Kutenda Na Mambo Ya Kujiepusha Nayo Katika Miezi Mitukufu

 

Alhidaaya.com

 

 

AlhamduliLLaah. Inapasa tumshukuru Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa) Kutuendeleza uhai katika mwezi mwengine mtukufu.  Ni fursa nyingine ya kutenda mema tuchume thawabu nyingi. Mema ambayo hatuna budi kuyatenda kwa ajili ya kujenga Aakhirah yetu kabla haijafika siku ya kuaga kwetu dunia.

 

Utukufu wa miezi hiyo mitukufu imetajwa katika Qur-aan na Sunnah: Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

 

 إِنَّ عِدَّةَ الشُّهُورِ عِندَ اللَّـهِ اثْنَا عَشَرَ شَهْرًا فِي كِتَابِ اللَّـهِ يَوْمَ خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ مِنْهَا أَرْبَعَةٌ حُرُمٌ ۚ ذَٰلِكَ الدِّينُ الْقَيِّمُ ۚ فَلَا تَظْلِمُوا فِيهِنَّ أَنفُسَكُمْ ۚ وَقَاتِلُوا الْمُشْرِكِينَ كَافَّةً كَمَا يُقَاتِلُونَكُمْ كَافَّةً ۚ وَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّـهَ مَعَ الْمُتَّقِينَ﴿٣٦﴾

Hakika idadi ya miezi mbele ya Allaah ni kumi na mbili katika hukmu ya makadirio ya Allaah, (tangu) siku Aliyoumba mbingu na ardhi. Kati ya hiyo, (iko miezi) minne mitukufu. Hivyo ndiyo Dini iliyo nyoofu. Basi msijidhulumu humo nafsi zenu (kwa kufanya maasi), na piganeni vita na washirikina wote kama wao wanavyokupigeni vita nyote. Na jueni kwamba Allaah Yu Pamoja na wenye taqwa. [At-Tawbah: 36]

 

Na miezi hiyo minne mitukufu imetajwa katika Hadiyth ifuatayo:

 

عن أبي بَكْرَةَ رضي الله عنه عَنْ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ أنه قَالَ:  ((إن الزَّمَانَ قَدْ اسْتَدَارَ كَهَيْئَتِهِ يَوْمَ خَلَقَ اللَّهُ السَّمَوَاتِ وَالأَرْضَ السَّنَةُ اثْنَا عَشَرَ شَهْرًا مِنْهَا أَرْبَعَةٌ حُرُمٌ ثَلاثٌ مُتَوَالِيَاتٌ ذُو الْقَعْدَةِ وَذُو الْحِجَّةِ وَالْمُحَرَّمُ وَرَجَبُ مُضَرَ الَّذِي بَيْنَ جُمَادَى وَشَعْبَانَ))

Imepokelewa kutoka kwa Abuu Bakr (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Hakika mgawano wa zama umerudi katika hali yake ya asili siku Allaah Alipoumba mbingu na ardhi. Mwaka una miezi kumi na mbili; minne miongoni ya hiyo ni mitukufu, mitatu inafuatana pamoja; Dhul-Qa'adah, Dhul-Hijjah na Muharram, mwengine ni Rajab wa (kabila la) Mudhwarr ambao uko baina ya Jumaadaa na Sha'baan))  [Al-Bukhaariy na Muslim]

 

Imaam Atw-Twabariy amesema:

 

 

Mafunzo Ya Minasaba

 

 

Duaa Ya Mwezi Unapoandama

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

  

 

اللَّهُ أَكْبَرُ، اللَّهُمَّ أَهِلَّهُ عَلَيْنَا بِالأمْنِ والِإيْمَـانِ، وَالسَّلامَةِ وَالإِسْلامِ، وَالتَّوْفِيْقِ لِـمَـا تُحِبُّ رَبَّنَا وَتَرْضَى، رَبُّنَا ورَبُّكَ اللَّهُ

 

Allaahu Akbar, Allaahumma Ahillahu ‘alaynaa bil amni wal iymaani, wassalamaati wal Islaami, wattawfiyqi limaa Tuhibbu Rabbanaa watardhwaa Rabbuna wa Rabbuka-Allaah

 

Allaah ni Mkubwa, Ee Allaah, Uanzishe kwetu kwa amani na iymaan, na usalama na Uislamu, na taufiqi ya kile Unachokipenda Rabb wetu na kukiridhia, Rabb  wetu na Rabb wako ni Allaah[1]

 

 

 

[1] Hadiyth ya ‘Abdullaah bin ‘Umar (رضي الله عنهما)  - AT-Tirmidhiy (5/504) [3451], Sunan Ad-Daarimiy kwa tamshi lake (1/336), Ahmad kwa kauli tofauti kidogo, na taz Swahiyh At-Tirmidhiy (3/157).

 

 

 

Mafunzo Ya Minasaba

 

 

09-Ramadhwaan

 

 

Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri: Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

 

 

 

 

 

 

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمنِ الرَّحِيم

 

Kwa Munaasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhwaan, Alhidaaya.com imewakusanyia na kuwaandalia faida mbalimbali za Fiqh ya Ramadhwaan: Yanayohusiana na hukmu za Swiyaam kwa ujumla, Fataawaa Za 'Ulamaa, Maswali Na Majibu, pamoja na faida nyinginezo za kusoma na kusikiliza ili kuwasaidia kwa wepesi katika kutekeleza vizuri kabisa ‘ibaadah zenu katika Ramadhwaan. Hali kadhaalika tumeanza kuwawekea Duruws, Mawaidha na Fataawaa za ‘Ulamaa wakubwa kwa lugha ya Kiarabu.

 

 

 

 

Nasiha Na Makala Muhimu Za Ramadhwaan:

 

 

Nyakati Tatu Muhimu Za Kufanya 'Ibaadah – Zisikupite Katika Ramadhwaan

 

 

Mwezi Wa Ramadhwaan Imeteremshwa Qur-aan - Jichumie Fadhila Za Kusoma Na Kuhifadhi Qur-aan

 

 

Fadhila Na Faida Za Qiyaamul-Layl

 

 

Ramadhwaan Ni Mwezi Wa Du’aa Na Du’aa Hutakabaliwa

 

 

Tafsiyr Ya Imaam As-Sa'dy: Kufaridhiswa Swawm  

 

 

 

Ingia Katika Milango Mingi Ya Kheri Ramadhwaan  

 

 

 

Nasiha 40 Za Ramadhwaan – Zitekeleze Ufaidike na Mwezi Mtukufu --  

 

 

Makosa Yafanywayo Na Wenye Kufunga Katika Mwezi Wa Ramadhwaan   

 

 

 

Fadhila Za Swiyaam Za Fardhi Na Za Sunnah

 

 

 

 Fadhila Za Kusoma Na Kuhifadhi Qur-aan Katika Hadiyth Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)  

 

 

Aayaat Kuhusu Fadhila Za Qur-aan Na Umuhimu Wake  

 

 

Fiqh Ya Swawm Ya Ramadhwaan Kutoka Kitabu 'Al-Wajiyz Fiy Fiqhis-Sunnah Wal-Kitaabil-'Aziyz  

 

 

 

 

Kumi La Mwisho Ramadhwaan Na Laylatul-Qadr

 

 

Siku Kumi Za Mwisho Za Ramadhwaan

 

 

 

Laylatul-Qadr- Vipi Uweze Kuupata Usiku Huu?

 

 

 

Baada Ya Ramadhwaan:

 

Mambo Matatu Yanayofuatia Ramadhwaan: Zakaatul-Fitwr, 'Iydul-Fitwr Na Swawm Ya Sittatush Shawwaal

 

 

Zakaatul-Fitwr: Hikmah Na Hukmu Zake

 

 

'Iyd Al-Fitwr: Yaliyo Sunnah Kutekelezwa

 

 

Sita Za Shawwaal Na Swawm Nyinginezo Baada Ya Ramadhaan  

 

 

 

Nini Baada Ya Ramadhwaan?

 

 

 

Kubakia Imara (Thabiti) Baada ya Ramadhaan  

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Fataawaa Za 'Ulamaa:

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Fataawaa Nyenginezo Za 'Ulamaa:

 

 

Shaykh Fawzaan: Kuambizana ”Ramadhwaan Kariym” Haikuthibiti

 

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Kutamka Niyyah Katika ‘Ibaadah Ni Upungufuu Katika Akili Na Dini

 

 

Imaam Ibn Baaz: Mwenye Swawm Ni Muhimu Asiache Sahuwr (Daku)

 

 

Al-Lajnah Ad-Daa'imah: Hakuweza Kulipa Swawm Za Ramadhwaan Zilopita Kwa Sababu Alikuwa Anazaa Siku Za Ramadhwaan

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kutamka Niyyah Katika ‘Ibaadah Ni Bid’ah Bali Mahali Pake Ni Moyoni

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kutumia Manukato Mazuri Siku Za Ramadhwaan

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Mashaytwaan Kufungwa Minyororo Ilhali Waislamu Hutenda Maasi

 

 

Shaykh Fawzaan: Mwenye Hedhi Kugusa Qur-aan Au Aayah Katika Simu Za Mkononi

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Hukmu Ya Aliyefariki Akiwa Ana Deni La Swiyaam Za Ramadhwaan

 

 

Imaam Ibn Baaz - Lipi Lilokuwa Bora Baina Kuisoma Qur-aan Na Kuisikiliza

 

 

Al-Lajnah Ad-Daa'imah: Usiseme ‘Swadaqa Allaahu Al-‘Adhwiym’ Baada Ya Kusoma Qur-aan

 

 

Al-Lajnah Ad-Daa'imah: Kumdhukuru Allaah Kila Baada Ya Rakaa Za Taraawiyh Ni Bid’ah (Uzushi)

 

 

 

Kumi La Mwisho Na I’tikaaf:

 

 

Imaam Ibn Baaz - Wakati Maalumu Wa I’tikaaf Kuingia Na Kutoka Kwake Na Je, Inajuzu Kuikata?

 

 

Imaam Ibn Baaz - Mambo Ambayo Yanampasa Mu’takif Katika Kutekeleza I’tikaaf Yake

 

 

 Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Ikiwa Ana Majukumu Je Lipi Bora Atekeleze I’tikaaf Au Atimize Majukumu Yake?

 

 

Imaam Ibn Baaz - Kurefusha Qiyaamul-Layl Katika Siku Kumi Za Mwisho Na Je Kuna Tofauti Ya Taraawiyh Na Qiyaamul-Layl?

 

 

 

Shaykh Fawzaan: Qiyaamul-Layl: Kuswali Baada Ya 'Ishaa Na Usiku Katika Makumi Ya Mwisho

 

 

 

‘Iyd Na  Sitta Shawaal  

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Swalaah Ya ‘Iyd Inavyoswaliwa

 

Imaam Ibn Baaz - Swiyaam Za Sitta Shawwaal Zifungwe Kwa Kufululiza Au Bila Kufufuliza?

 

 

Zakaatul-Fitwr

 

Al-Lajnah Ad-Daa'imah: Haijuzu Kuichelewesha Zakaatul-Fitwr

 

 

 

Kauli Za Salaf:

 

 

Imaam Ibn Baaz: Nasiha Kwa Waislamu Kupokea Ramadhwaan Kwa Tawbah Ya Kweli Na Kujifunza ‘Ilmu Ya Dini Yao

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Ramadhwaan Ni Katika Neema Za Allaah Kwa Waja Wake

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Nasiha Kwa Maimaam Wa Misikiti Waswalishe Qiyaamul-Layl Kwa Utulivu

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Sharh Thawabu Za Kumfuturisha Mwenye Swawm

 

 

Ibn Rajab: Swiyaam Ni Miongoni Mwa Subira Na Thawabu Zake Hazina Hesabu

 

 

Shaykh Fawzaan - Swawm Si Kuacha Kula Na Kunywa Pekee

 

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Allaah Anasikiliza Du’aa Na Anaitikia

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Sharh Thawabu Za Kumfuturisha Mwenye Swawm

 

 

 

Laylatul-Qadr and End Ramadhaan

 

 

Imaam Ibn Al-Qayyim: Ingekuwa Laylatul-Qadr Inapatikana Mwaka Mzima

 

 

Imaam Ibn Rajab: Kuomba Al-‘Afwu Kwa Allaah Laylatul-Qadr Na Kusameheana

 

 

Imaam Ibn Baaz: Usiku Wa Laylatul-Qadr Hubadilika Kila Mwaka

 

 

Imaam Ibn Rajab: Ramadhwaan Inaaga Chukua Fursa Masiku Yaliyobakia Kutenda Mazuri

 

 

Imaam Ibn Rajab: Vipi Muumin Yasimtoke Machozi Kwa Kuondoka Ramadhwaan ?

 

 

Shaykh Fawzaan - Alama Za Kukubaliwa (Matendo) Katika Ramadhwaan

 

 

 

 

Kutoa Zakaah

 

Zakaatul-Fitwr: Hikmah Na Hukmu Zake

 

 

 

 

Mashairi:

 

01-Inakuja Ramadhani, Viumbe Tuwe Tayari

02-Karibu Wetu Mgeni, Mtukufu Ramadhani

03-Ramadhani Kutufika, Twamshukuru Rahimu

04-Ramadhani Imefika, Mola Tusamehe Dhambi

05-Ramadhani Inaaga, Mola Tusamehe Dhambi

06-Ramadhani Inakwisha, Mola Tusamehe Dhambi.

07-Kufunga Sita Ni bora, Kutimiza Msafara

 

 

 

Zingatio:

 

Zingatio: Hodi Ramadhwaan Inapiga

Zingatio: Wakati Ni Huu Wa Ramadhwaan

Zingatio: Ramadhwaan Mgeni Bora

Zingatio: Kuukaribisha Mwezi Mtukufu Wa Ramadhwaan Na Kukhofia Kikata Ladha

Zingatio: Ramadhwaan Alhidaaya Imefika

Zingatio: Tuikirimu Ramadhwaan

Zingatio: Utaipata Wapi Tena Fursa Hii Ya Ramadhwaan?

Zingatio: Yaa Rahiym, Tukubalie Swawm Zetu

Zingatio: Zifunge Swiyaam Za Sitta Shawwaal

 

 

 

 

Du'aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

 

Hiswnul-Muslim: Du’aa Na Adhkaar Kusoma Na Kwa Kusikiliza (Toleo Lilohaririwa)

 

 

 

Maswali Na Majibu Kuhusu Ramadhwaan Na Swiyaam Kwa Ujumla

 

Hukmu Za Swawm

 

Swawm Za Sunnah

 

Yanayobatilisha-Yasiyobatilisha Swawm

 

Maswali Kuhusu Swalaah za Tarawiyh

 

 

Maswali Kuhusu Hilaal (Mwandamo Wa Mwezi)

 

 

Mwandamo Wa Mwezi – Waislamu Wote Duniani Wafunge Siku Moja Na Kula ‘Iyd Siku Moja ?

 

Mwandamo Wa Mwezi Upi Sahihi Wa Kitaifa Au Kimataifa?

 

Utata wa Kufunga Swawm na Kufungua Kutokana Na Kutofautiana Kuhusu Mwandamo Wa Mwezi

 

Mwandamo Wa Mwezi; Kila Mji Ufuate Mwezi Unapoonekena Kwao Au Mwandamo Wa Kimataifa?

 

Kuonekana Kwa Mwezi Mwandamo Sehemu Tofauti Na Kuanza Funga

 

Kufuata Mwezi Wa Kitaifa Au Wa Kimataifa; Kupishana Masaa; Wazee Zamani Walikuwa Wanapataje Habari Kuhusu Mwezi Wa Kimataifa

 

Mwezi Ulionekana Siku Moja Nchi Nyingine Mapema Zaidi Yetu Je, Tulipe Siku Hiyo?

 

Ni Sawa Kumfuata Mume Kwa Msimamo Wa Mwezi Wa Kitaifa Japokuwa Alikuwa Akifuata Unapoonekana Popote Duniani?

 

Tunaambiwa Wanaofuata Mwezi Wa Kimataifa Wamekosea Na Walipe Swawm Je, Ni Sawa?

 

 

Maswali Kuhusu Swawm:

 

 

Uzushi Wa Swalaah Makhsusi Za Siku Kumi La Mwisho Wa Ramadhwaan -- Maswali: Bid'ah - Uzushi

 

 

Maswali Qiyaamul-Layl Taarawiyh, Laylatul Qadr

 

 

Maswali Mbali Mbali Kuhusu Swalah Ya Tarawiyh, Witr Na Du'aa Ya Laylatul-Qadr -- Maswali: Swalah Ya Jamaa

 

 

Akiswali Taraawiyh Masjid Inajuzu Aswali Tena Nyumbani Akiamka Usiku? -- Maswali: Swalah Ya Jamaa

 

 

Vipi Kutia Niyyah Swalaah Za Qiyaamul-Layl? -- Maswali: Swalah-Sunnah

 

 

Swalaah Ya Witr Inaswaliwa Vipi Na Vipi Kutia Niyyah? -- Maswali: Swalah-Sunnah

 

 

Wakati Wa Swalaah Ya Tahajjud Na Vipi Kuswali -- Maswali: Swalah-Sunnah

 

 

Uzushi Wa Adhkaar Kila Baada Ya Rakaa Mbili Au Nne Za Swalaah Ya Taraawiyh Kuhusu Adhkaar Na Surah Katika Swalah Ya Qiyamul-layl Na Witr -- Maswali: Surah-Du'aa

 

 

 

Idadi Ya Rakaa Za Taraawiyh, Mwisho Wake, Na Jinsi Ya Kuziswali Rakaa Tatu Za Witr -- Maswali: Swalah Ya Jamaa

 

 

 

Akiondoka Kabla Ya Imaam Kumaliza Rakaa 20 Na Akiswali Witr Nyumbani Atapata Fadhila Za Qiyaamul Layl? -- Maswali: Swalah Ya Jamaa

 

 

 

Kumi La Mwisho, Laylatul-Qadr, I’tikaaf 

 

 

Mwanamke Mwenye Hedhi Afanye Nini Masiku Ya Mwisho Kupata Laylatul-Qadr? -- Maswali: Twahara Hedhi-Nifaas-Ghuslu

 

 

Swalaah Makhsusi Za Siku Kumi La Mwisho Wa Ramadhwaan Sahihi Au Uzushi? -- Maswali: Bid'ah - Uzushi

 

 

Mwanamke Kupata Laylatul Qadr Akiwa katika Hedhi -- Maswali: Twahara Hedhi-Nifaas-Ghuslu

 

 

Akipitiwa Usingizi Baada Ya Kufanya Ibada Usiku Wa Laylatul Qadr Atakauwa Ameupata Usiku Huu Mtukufu? -- Maswali: Swalah-Sunnah

 

 

Wanawake Wanaweza Kufanya I'tikaaf? -- Maswali: Swalah-Sunnah

 

 

Inafaa Kufanya Adhkaar Nyumbani Kumi La Mwisho Ramadhaan Ikiwa Siruhusiki Kwenda Msikitini? -- Maswali: Hukmu Za Swawm

 

 

Wanawake Wanaweza Kufanya I'tikaaf Nyumbani? -- Maswali: Swalah-Sunnah

 

 

Mwanamke Mwenye Hedhi Anaweza Kumdhukuru Allaah Na Kutaja Majina Yake Mazuri? -- Maswali: Twahara Hedhi-Nifaas-Ghuslu

 

 

 

Maswali Kuhusu Zakaatul Fitwr:

 

 

Kutoa Zakaatul-Fitwr Wiki Moja Kabla Ya 'Iyd -- Maswali: Zakaah

 

 

Anajitegemea Mwenyewe, Anachangia Katika Futari; Je, Anawajibika Kutoa Zakaatul-Fitwr? -- Maswali: Zakaah

 

 

Kutoa Zakaatul-Fitwr Kwa Kiwango Zaidi Ya Anachostahiki Maskini Na Kutoa Siku Kumi Kabla Ya Ramadhwaan Kumalizika -- Maswali: Zakaah

 

 

Zakaatul-Fitwr Inafaa Kwa Ajili Ya Kusaidia Matibatu Ya Yatima? -- Maswali: Zakaah

 

 

Anapata Misaada Ya Kulea Yatima, je Atoe Zakaatul-Fitwr? -- Maswali: Zakaah

 

 

Kiwango Cha Zakaatul-Fitwr Ni Chakula Cha Masikini Mmoja Si Siku 30 -- Maswali: Zakaah

 

 

Kiwango Gani Cha Kutoa Zakaatul-Fitwr? Nani Nipasaye Kumlipia? -- Maswali: Zakaah

 

 

Maisha Yetu Ni Duni Je, Inatupasa Kutoa Zakaatul-Fitwr? -- Maswali: Zakaah 

 

 

Mke Yuko Mbali Na Mume, Zakaatul Fitwr Yake Itolewe Wapi? -- Maswali: Zakaah

 

Anafanya Kazi; Je, Alipe Mwenyewe Zakaatul-Fitwr Au Wazazi Wake Wamlipie?

 

Mwanafunzi Nchi Za Nje Atoe Zakaatul-Fitwr Au Wazazi Wake Wamtolee?

 

 

Maswali Ya IYD

 

Je, Inanyanyuliwa Mikono Katika Kila Takbiyrah Ya Ziada Kwenye Swalaah Ya 'Iyd? -- Maswali: Swalah Ya Jamaa

 

 

Kuna Du’aa Ya Kunuia Kwa Ajili Ya ‘Iyd -- Maswali: Hukmu Za Swawm

 

 

Tofauti Ya Takbiyrah Za Iydul-Fitwr Na Iydul-Adhwhaa -- Maswali: Swalah Ya Jamaa

 

 

Je, Inanyanyuliwa Mikono Katika Kila Takbiyrah Ya Ziada Kwenye Swalaah Ya 'Iyd? -- Maswali: Swalah Ya Jamaa

 

 

Maswali Ya Sitta Shawwaal

 

 

Kulipa Deni Kwanza Au Kufunga Sita Shawwaal -- Maswali: Swawm Za Sunnah

 

 

Ufafanuzi Wa Thawabu Za Sita Kama Kufunga Mwaka Mzima -- Maswali: Swawm Za Sunnah

 

 

Kufunga Ijumaa Na Jumamosi Katika Sita Ya Shawwaal Yafaa -- Maswali: Swawm Za Sunnah

 

 

Anaweza Kufunga Swawm Za Sunnah Katika Mwezi Wa Shawwaal? -- Maswali: Swawm Za Sunnah

 

 

Hukumu Ya Kufunga Siku Ya Jumamosi Pekee Na Inapoangukiwa Siku Ya 'Arafah Au 'Ashuraa

 

 

Ufafanuzi Wa Thawabu Za Sita Kama Kufunga Mwaka Mzima 

 

 

Kulipa Deni La Ramadhaan Na Sita Shawwaal

 

 

Inafaa Kufunga Swawm Za Naafil (Sunnah) Kabla Ya Kulipa Deni La Ramadhaan?

 

 

Kufunga Ijumaa Na Jumamosi Katika Sita Ya Shawwaal Yafaa

 

 

 

 

 

Imaam Al-Albaaniy

 

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Mafunzo Ya Minasaba

 

08-Sha'baan

 

Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri: Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

 

 

 

 

Tekeleza Sunnah Ya Kukithirisha Swiyaam Katika Mwezi Wa Sha’baan

 

Alhidaaya.com

 

 

Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) alikuwa akikithirisha kufunga (Swiyaam) katika mwezi wa Sha’baan kuliko miezi mengineyo:

 

 

عَنْ عَائِشَةَ رَضِيَ اَللَّهُ عَنْهَا قَالَتْ: (كَانَ رَسُولُ اَللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏يَصُومُ حَتَّى نَقُولَ لَا يُفْطِرُ، وَيُفْطِرُ حَتَّى نَقُولَ لَا يَصُومُ، وَمَا رَأَيْتُ رَسُولَ اَللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏اِسْتَكْمَلَ صِيَامَ شَهْرٍ قَطُّ إِلَّا رَمَضَانَ، وَمَا رَأَيْتُهُ فِي شَهْرٍ أَكْثَرَ مِنْهُ صِيَامًا فِي شَعْبَانَ)  مُتَّفَقٌ عَلَيْهِ   

Kutoka kwa ‘Aaishah (رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا) amesema kuwa: “Rasuli wa Allaah (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) alikuwa akifunga hadi tunasema kuwa hatofungua; na anakula (huwa hafungi) hadi tunasema kuwa hatofunga. Sikuwahi kumuona Rasuli wa Allaah (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) anafunga mwezi mzima bila kufungua isipokuwa mwezi wa Ramadhwaan tu, na sikumuona anafunga sana katika mwezi wowote zaidi ya Sha’baan.” [Al-Bukhaariy, Muslim]

 

 

Na pia,

 

 Endelea...

 

 

Tanabahi Kuhusu Bid'ah (Uzushi) Ya Nusu Ya Sha’baan; Kufunga Swawm, Kumdhukuru Allaah Na Kuomba Du’aa

 

 Alhidaaya.com

 

 

Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi waa alihi wa sallam) ametahadharisha kuhusu bid’ah aliposema:

 

 ((أُوصِيكُمْ بِتَقْوى اللَّه، وَالسَّمْعِ وَالطَّاعَةِ وإِنْ تَأَمَّر عَلَيْكُمْ عَبْدٌ حبشيٌ، وَأَنَّهُ مَنْ يَعِشْ مِنْكُمْ فَسَيرى اخْتِلافاً كثِيرا. فَعَلَيْكُمْ بسُنَّتي وَسُنَّةِ الْخُلُفَاءِ الرَّاشِدِينَ الْمَهْدِيِّينَ، عضُّوا عَلَيْهَا بالنَّواجِذِ، وإِيَّاكُمْ ومُحْدثَاتِ الأُمُورِ فَإِنَّ كُلَ بِدْعَةٍ ضلالَةٌ)) رواه أبو داود، والترمذِي وقال حديث حسن صحيح

((Nakuusieni kumcha Allaah, usikivu na twaa hata ikiwa kiongozi wenu (Au atakayekuamrishen) ni Mtumwa wa Habash. Mtakaoishi miongoni mwenu mtaona ikhtilafu nyingi. Kwa hiyo shikamaneni na Sunnah zangu na Sunnah za Makhalifa waliongoka baada yangu.  Ziumeni kwa magego (zikamateni kwa nguvu wala msiziache). Na tahadharini na mambo ya uzushi kwani kila bid'ah ni upotofu)) [Abu Daawuwd, At-Trimidhiy kasema Hadiyth Hasan Swahiyh]

 

Na katika Riwaayah nyingine:

 

((إن خير الكلام كلام الله وخير الهدي هدي محمد صلَّى اللَّهُ عليْهِ وسلَّمَ وشر الأمور محدثاتها وكل محدثة بدعة وكل بدعة ضلالة وكل ضلالة في النار)) أخرجه مسلم في صحيحه 

Maneno bora ni kitabu cha Allaah (Qur-aan) na Uongofu mbora kabisa ni uongofu wa Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na jambo la shari kabisa ni uzushi, na kila jambo jipya (katika Dini) ni bid'ah (uzushi) na kila bid'ah ni upotofu, na kila upotofu ni motoni. [Muslim katika Swahiyh yake]

 

 

Swali:

 

“Je, bid’ah, hata bid’ah hiyo iwe ndogo vipi ni miongoni mwa madhambi makubwa? Au kuna ufafanuzi bayana wa hili?”

 

Jibu:

 

Endelea....

 

 

 

Jitayarishe Kujielimisha: Fataawaa Za Ramadhwaan Na Swawm

 

 

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Ramadhwaan: Mwenye Deni Lazima Ailipe Kabla Ya Ramadhwaan Nyingine Kuingia

 

Shaykh Fawzaan: Sha'baan: Hukmu Swiyaam Mwezi Wa Sha’baan

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Sha'baan: Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) Alikuwa Akifunga Zaidi Sha'baan

 

 

 

Shaykh 'Abdul-Muhsin Al-‘Abbaad: Adabu Za Sha’baan (Na Al-Muharram) – Kufunga Siku Nyingi Si Kukamilisha

 

Shaykh Fawzaan: Ramadhwaan: Nasiha Kuomba Du'aa Unapokaribia Mwezi Wa Ramadhwaan

 

 

Shaykh 'Abdul-Muhsin Al-‘Abbaad: Sha'baan: Si Sunnah Kufunga Swiyaam Mwezi Mzima Sh'abaan

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Ramadhwaan: Du’aa "Allaahumma Balighnaa Ramadhwan" Haikuthibiti

 

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Hukmu Ya Kisimamo Cha Usiku Wa Nusu Sha’baan

 

 

Shaykh Fawzaan - Hakujasihi Chochote Kuhusu Nusu Sha'baan

 

 

Shaykh Fawzaaan: Je, Laylatul-Qadr Inatokea Katika Nisfwu Sha'baan?

 

 

 

Imaam Ibn Rajab: Swiyaam Za Sha’baan Ni Mazoezi Ili Mtu Asipate Mashaka Swiyaam Za Ramadhawaan

 

Imaam Ibn Rajab: Hikmah Ya Kukithirisha Kufunga Swiyaam Katika Sha’baan

 

Imaam Ibn Rajab: Kukithirisha Swawm Na Kusoma Qur-aan Katika Sha'baan Kwa Maandalizi Ya Ramadhwaan

 

Imaam Ibn Rajab: Swiyaam Za Mwezi Wa Sha’baan Kulinganisha Na Swiyaam Za Miezi Mitukufu Na ‘Ibaadah Nyinginezo

 

 

 

 

 

 

 

 

Wadhakkir:

 

 

 

 

 

Kufunga Na Kukutanika Usiku Wa Nusu Sha’baan Na Kufanya Kisomo Inafaa?

 

Uzushi Nusu Sha'baan Na Kuhusu Qismatu Rizq (Mgawanyo Wa Rizki)

 

Uzushi Wa Mashia Wa Swalah Ya Usiku Wa Mwanzo Wa Sha'baan

 

 

 

Mafunzo Ya Minasaba

 

Swiyaam (Funga) Za Siku Tatu Kila Mwezi Thawabu Zake

Ni Sawa Na Thawabu Za Swiyaam Za Milele!

Alhidaaya.com

 

 

Swiyaam (funga) za Ayyaamul-Biydhw (Masiku Meupe) ni tarehe 13, 14, 15 katika kila mwezi wa Kiislamu (Hijriyyah).  

 

 

Tanbihi: Isipowezekana kufunga Swiyaam za Ayyaamul-Biydhw, basi inajuzu kufunga siku tatu zozote nyengine katika mwezi ili kupata thawabu za Milele, na si lazima zifungwe mfululizo.

 

 

عَنْ أَبي ذَرٍّ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيهِ وَسَلَّمَ:((مَنْ صَامَ مِنْ كُلِّ شَهْرٍ ثَلاثَةَ أَيَّامٍ فَذَلِكَ صِيَامُ الدَّهْرِ)) فَأَنْزَلَ اللهُ تُصْدِيقَ ذَلِكَ في كِتَابِهِ الْكَرِيمِ: ((مَنْ جَاءَ بِالْحَسَنَةِ فَلَهُ عَشْرُ أَمْثَالِهَا))، الْيَوْمُ بِعَشَرَةِ أَيّامٍ. أخرجه أحمد والترمذي وقال حديث حسن ، والنسائي وابن ماجه وابن خزيمة

Imepokelew a kutoka kwa Abuu Dharr (Radhwiya Allaahu ‘anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Yeyote atakayefunga (Swawm) kila mwezi siku tatu, ni sawa na Swawm ya milele)) Kisha Allaah Akateremsha Aayah ithibitishayo hayo: “Atakayekuja kwa 'amali nzuri basi atapata (thawabu) kumi mfano wa hiyo.” Siku moja kwa malipo ya siku kumi. [Imepokewa na At-Tirmidhiy na amesema Hadiyth Hasan, An Nasaaiy na Ibn Maajah, Ibn Khuzaymah na ameisahihisha Al-Albaaniy katika Al-Irwaa (4/102)]. Aayah: Suwrat Al-An’aam (160)]

 

Maana Ya Al-Biydhw:  Masiku hayo yameitwa ‘Al-Biydhw’ (meupe) sababu usiku wa siku hizo hung'aa kutokana na mwanga wa mwezi. Ayyaam Al-Biydhw (Masiku Meupe) tarehe zake ni 13, 14 na 15 katika kila mwezi wa kalenda ya Kiislamu. Dalili ni Hadiyth zifuatazo:

 

Bonyeza Upate fadhila za Ayyaamul-Biydhw, fadhila za Swawm ya Jumatatu na Alkhamiys na fadhila za Swawm kwa ujumla.

 

 

Mafunzo Ya Minasaba

 

07-Rajab

 

 

 'Amali Za Kutenda Na Mambo Ya Kujiepusha Nayo Katika Miezi Mitukufu

 

'Amali Za Kutenda Na Mambo Ya Kujiepusha Nayo Katika Miezi Mitukufu

 

Alhidaaya.com

 

 

Ni fursa nyingine ya Waumini kutilia juhudi kubwa ya kutenda mema, ili kujichumia thawabu tele katika Miezi Mitukufu. Utukufu wa miezi hiyo imetajwa katika Qur-aan na Sunnah: Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

 

 إِنَّ عِدَّةَ الشُّهُورِ عِندَ اللَّـهِ اثْنَا عَشَرَ شَهْرًا فِي كِتَابِ اللَّـهِ يَوْمَ خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ مِنْهَا أَرْبَعَةٌ حُرُمٌ ۚ ذَٰلِكَ الدِّينُ الْقَيِّمُ ۚ فَلَا تَظْلِمُوا فِيهِنَّ أَنفُسَكُمْ ۚ وَقَاتِلُوا الْمُشْرِكِينَ كَافَّةً كَمَا يُقَاتِلُونَكُمْ كَافَّةً ۚ وَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّـهَ مَعَ الْمُتَّقِينَ﴿٣٦﴾

Hakika idadi ya miezi mbele ya Allaah ni kumi na mbili katika hukmu ya makadirio ya Allaah, (tangu) siku Aliyoumba mbingu na ardhi. Kati ya hiyo, (iko miezi) minne mitukufu. Hivyo ndiyo Dini iliyo nyoofu. Basi msijidhulumu humo nafsi zenu (kwa kufanya maasi), na piganeni vita na washirikina wote kama wao wanavyokupigeni vita nyote. Na jueni kwamba Allaah Yu Pamoja na wenye taqwa. [At-Tawbah: 36]

 

Na miezi hiyo minne mitukufu imetajwa katika Hadiyth ifuatayo:

 

عن أبي بَكْرَةَ رضي الله عنه عَنْ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ أنه قَالَ:  ((إن الزَّمَانَ قَدْ اسْتَدَارَ كَهَيْئَتِهِ يَوْمَ خَلَقَ اللَّهُ السَّمَوَاتِ وَالأَرْضَ السَّنَةُ اثْنَا عَشَرَ شَهْرًا مِنْهَا أَرْبَعَةٌ حُرُمٌ ثَلاثٌ مُتَوَالِيَاتٌ ذُو الْقَعْدَةِ وَذُو الْحِجَّةِ وَالْمُحَرَّمُ وَرَجَبُ مُضَرَ الَّذِي بَيْنَ جُمَادَى وَشَعْبَانَ))

Imepokelewa kutoka kwa Abuu Bakr (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Hakika mgawano wa zama umerudi katika hali yake ya asili siku Allaah Alipoumba mbingu na ardhi. Mwaka una miezi kumi na mbili; minne miongoni ya hiyo ni mitukufu, mitatu inafuatana pamoja; Dhul-Qa'adah, Dhul-Hijjah na Al-Muharram, mwengine ni Rajab wa (kabila la) Mudhwarr ambao uko baina ya Jumaadaa na Sha'baan))  [Al-Bukhaariy na Muslim]

 

Imaam Atw-Twabariy amesema: “Katika miezi yote kumi na mbili Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) Ameichagua hii minne na Ameifanya kuwa ni mitukufu na kusisitiza kuitakasa, na kwamba dhambi zitakazofanyika humo ni zaidi na hali kadhalika thawabu za ‘amali njema zinakuwa maradufu na zaidi. [Atw-Twabariy 14: 238]

 

Qataadah amesema kuhusu kauli ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

 

 

Endelea...

 

 

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Ramadhwaan: Du’aa "Allaahumma Balighnaa Ramadhwan" Haikuthibiti

 

Shaykh Fawzaan: Rajab: Kuomba Ee Allaah! Tubarikie Rajab Na Sha´baan Na Tufikishe Ramadhwaan

 

Imaam An-Nawawiy: Rajab: Swalaatur-Raghaaib Bid‘ah Inayochukiza Mno Inapaswa Kukemewa

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Rajab: Swalaatur-Raghaaib Haina Asili Bali Ni Bid’ah

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Rajab: Du’aa Makhsusi Ya Rajab Sha’baan Na Ramadhwaan Imethibiti?

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Rajab: Kuadhimisha Mwezi Wa Rajab Kufanya Musimu Wa Swawm Ni Bid’ah

 

Imaam Ibn Baaz: Rajab: Kuhusisha Mwezi Wa Rajab Kwa ‘Ibaadah

 

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Kuhusisha Rajab Na Sha’baan Kwa Swawm Na I’tikaaf Hakuna Dalili

 

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Rajab Na Sha'baan: Hakuna Dalili Kuhusisha Kwa Swawm Na I’tikaaf

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Rajab: Kuadhimisha Mwezi Wa Rajab Kufanya Musimu Wa Swawm Ni Bid’ah

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Rajab: Swalaatur-Raghaaib Haina Asili Bali Ni Bid’ah

 

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Haikuthibiti Kuwa Tarehe 27 Rajab Ni Siku Ya Israa Wal-Mi’raaj

 

Imaam Ibn Taymiyyah: Kufanya Misimu Ya ‘Ibaadah Bila Ya Kuweko Dalili Ni Bid’ah

 

 

 

Abuu Bakr Al-Balkhiy: Rajab Kupandikiza Mbegu Sha'baan Kutilia Maji Ramadhwaan Kuchuma Matunda

 

 

Imaam Ibn Hajar: Hakuna ‘Ibaadah Yoyote Iliyothibiti Kutendwa Katika Mwezi Wa Rajab

 

 

Imaam Ibn Rajab: Haikuthibiti Mwezi Wa Rajab Kuwa Ni Mahsusi Kwa Ajili Ya Kutoka Zakaah

 

Imaam Ibn Rajab: Hakuna Dalili Kuzaliwa Kwa Nabiy Au Kupewa Unabiy Katika Mwezi Wa Rajab

 

 

Imaam Ibn Al-Qayyim: Hakuna 'Ibaadah Maalumu Inayofungamana Na Mwezi Wa Rajab Wala Tukio La Israa Wal Mi'raaj

 

 

Imaam Ibn Rajab: Kusherehekea Siku Ambazo Hazimo Katika Shariy’ah Ni Bid’ah

 

 

 

 

Mwezi Wa Rajab: Fadhila Zake Na Yaliyozuliwa Ndani Yake

 

Bid’ah Za Kujipeusha Nazo Katika Mwezi Wa Rajab Na Khaswa Tarehe 27

 

Tukio la Israa Na Mi'iraaj

 

Mashairi: Swalah Ni Nguzo Muhimu: Sababu Ya Israa Na Mi'iraaj

 

Israa Na Mi'iraaj - Kisa Cha Abu Bakr Asw-Swiddiyq (Radhiya Allaahu 'Anhu)

 

Muujiza Wa Al-Israa Wal-Mi'raaj Na Mafunzo Yake

 

 

Maswali Na Majibu:

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Mafunzo Ya Minasaba

 

Taqabbala Allaahu Minnaa Wa Minkum – Iydul-Adhw-haa Al-Mubaarak

 

 

Kwa Munaasabah huu wa furaha wa siku tukufu ya ‘Iyd Al-Adhw-haa tunapenda kuwawasilishia salaam zetu na du'aa njema kwenu wote, tukimuomba Allaah (Subhaanahu Wa Ta'alaa) Atughufurie dhambi zetu na Atuwache huru kutokana na Moto na Atutaqabalie 'amali zetu na zenu ‘TAQABBALA ALLAAHU MINNAA WA MINKUM’ (Hivi ndivyo Maswahaba watukufu walivyokuwa wakiambiana pindi wanapokutana katika siku ya 'Iyd).

 

Kadhaalika, tunamuomba Yeye Allaah ('Azza wa Jalla) kwa Majina Yake mazuri, na Sifa Zake tukufu, Awataqabalie Hujaji Hijjah yao na Atujaalie sote furaha, amani, mapenzi, siha na iymaan pamoja na thabaat katika masiku yote ya uhai wetu, na Atutakabalie du'aa zetu.

 

Msisahau kuendeleza Takbira mpaka tarehe 13 Dhul-Hijjah Kwa maelezo zaida tafadhali bonyeza viungo vifuatavyo:

 

Katazo La Swiyaam (Funga) Ayyaamut-Tashriyq: 11, 12, 13 Dhul-Hijjah Na Amali Za Kutenda

 

Ukumbusho Wa Takbiyr Katika Masiku Kumi Na Tatu Ya Dhul-Hijjah: Tarehe 1–13 Dhul-Hijjah

 

Bonyeza bango upate Takbira:

 

 

 

 

 

Mafunzo Ya Minasaba

 

Nasaha Na Ukumbusho wa Swawm Ya ‘Arafah

Ili Ufutiwe Madhambi Ya Miaka Miwili!

 

Alhidaaya.com

 

Ndugu Waislamu tunapenda kuwakumbusha na kuwapa nasaha ya kufunga Swawm siku ya 'Arafah tarehe 9 Dhul-Hijjah ambayo fadhila yake ni kufutiwa madhambi ya miaka miwili kwa dalili ifuatayo:  

 

عَنْ أَبِي قَتَادَةَ رضي الله عنه أن النَّبِيَّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: ((صِيَامُ يَوْمِ عَرَفَةَ أَحْتَسِبُ عَلَى اللَّهِ أَنْ يُكَفِّرَ السَّنَةَ الَّتِي قَبْلَهُ وَالسَّنَةَ الَّتِي بَعْدَهُ )) أخرجه مسلم

Abuu Qataadah (Radhwiya Allaahu 'anhu) amehadithia kwamba Nabiy Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam amesema: ((Swawm ya 'Arafah nataraji (kwa Allaah) kufuta madhambi ya mwaka uliopita na wa baada yake.” [Muslim]

 

 

 

Bonyeza Hapa Upate: Fadhila Za Siku Ya 'Arafah

Na Yawmun-Nahr (Siku Ya Kuchinja)

 

 

 

Bonyeza Hapa Upate: Ukumbusho Wa  Kutamka Maneno Bora Kabisa Siku Ya ‘Arafah

Pamoja Na Kumdhukuru Allaah Kwa Wingi, Na Kuomba Du'aa,

Kuomba Maghfirah Na Kumuomba Allaah Akuache Huru Kutokana Na Moto!

 

 

Ratiba Ya ‘Ibaadah Za Kutekeleza Siku Tukufu Ya ‘Arafah

 

 

Bonyeza Hapa Upate Hukmu Ya Swawm Ya 'Arafah

Inapoangukia Ijumaa Au Jumamosi

 

 

 

Bonyeza Hapa Upate Takbira