Maswali Ya Riba-Rushwa

Amechukua Faida Katika Kumpatia Mteja Huduma, Je, Ni Ribaa?
Anajua Kuwa Ribaa Ni Haraam Lakini Anaweka Makusudi Pesa Banki Ili Aipate Hiyo Ribaa Kisha Aitolee Sadaka
Anauza Pesa Za Kigeni, Kampa Mteja Bei Ya Jana Iliyokuwa Juu Badala Ya Ya Leo Ambayo Iko Chini Ili Apate Ziada Yeye
Anaweza Kughushi Ili Mkewe Apate Shahada Za Kumwezesha Kuendelea Na Masomo Ya Juu?
Benki Inatoa Zawadi Kutokana Na Kiwango Cha Pesa Uloweka Badala Ya Fedha, Je, Ni Ribaa Pia?
Bibilia Imetaja Kuhusu Ribaa?
Bima (Insurance) Inakubalika Katika Uislamu?
Bima Ya Maisha (Life Insurance) Inaruhusiwa Katika Uislamu?
Bonus Accounts Ni Halaal Au Ribaa?
Kuchukua Mkopo Kutoka Benki Za Kiislamu Inajuzu?
Kuchukua Mkopo Wa Gari Katika Shirika Nifanyalo; Wameniwekea Masharti Kutumia Gari Inafaa Mkopo Wao?
Kukopa Gari Benki Kwa Ribaa Ikiwa Hakuna Taasisi Za Kukopesha Waislam
Kulipa Kodi Kwa Pesa Za Ribaa Inafaa?
Kulipa Pesa Kila Mwezi Kwa Ajili Ya Bima Ya Uzima Inafaa?
Kuna Uharamu Kufanya Biashara Na Benki Na Kama Upo Ni Nini Uharamu Wake?
Kununua Nyumba kwa Njia ya Ribaa
Kuongeza Bei Ya Bidhaa Kinyume Na Aliyoweka Mwenyewe Kwa Kuzidisha Bei Au Kupunguza
Kuongeza Pesa Kwa Niaba Ya Ribaa Iiliyobaki Benki
Kupewa Gari Kazini Imenunuliwa Kwa Mkopo Wa Ribaa Kisha Analipia Kwa Installments
Kupokea Child Benefit Inafaa Na Ikiwa Analipa Tax Ya Serikali?
Kurejesha Mkopo Wa Benki Bila Kulipa Ribaa
Kurithi Nyumba Iliyojengwa Na Pesa Za Ribaa Inajuzu?
Kutoa Rushwa Kwa Ajili Ya Kupata Nyumba Ya Serikali
Kuwekeza Pesa Kwenye Hisa Ambayo Mkataba Wake Unasema Faida Unayopata Ni Ribaa
Maduka Kutoa Mkopo Na Kupanga Muda Wa Kulipa Kwa Kiwango Fulani Ziada Je Ni Ribaa?
Medical Insurance Halaal Au Haraam?
Mkopo Wa Nyumba Wa Benki (Mortgage) Ni Halaal?
Msimamizi Wa Kampuni Na Kila Ninapowapa Kazi Vibarua Hunipa Posho Ni Sawa Kupokea?
Nikilipa Deni La Benki Kabla Ya Muda Uliowekwa Itakuwa Bado Nimeingia Kwenye Ribaa?
Nikipokea Zaidi Ya Nilivyokopesha Itakuwa Ni Riba?

Pages