Maswali Ya Maasi

Alikuwa Akifanya ‘Ibaadah Sana Kabla Ya Kumuoa, Kisha Baada Ya Ndoa Mume Haswali Tena Afanyeje
Alipokosa Kuzini Na Kijakazi Alikuwa Anatumia Mikono Kujitoa Matamanio- Sasa Nguvu Zimemwisha Atumie Dawa Au Vyakula Gani?
Amekula Vidonge Kutoa Mimba Nini Hukmu Yake?
Ana Rafiki Wa Kiume, Mama Yake Mdogo Anamtisha Kuwa Akiolewa Naye Atamtangazia Kuwa Amezini Naye
Ana Tabia Za Za Kutazama Wanawake Na Picha Chafu Anashindwa Kujizuia Nazo- Afanyeje?
Anafanya Kitendo Cha Siri Kisha Anatubu Kisha Anarudia Tena, Hadi Anaacha Kuswali, Vipi Aache Maasi Haya
Anajaribu Kufanya Mema Lakini Ana Tabia Chafu Ya Kuondosha Matamanio Kwa Mkono Na Vifaa, Afanyeje Kujiepusha Shaytwaan ?
Anajitahidi Kuwa Katika Taqwa Lakini Bado Anapenda Kutazama Machafu
Analewa Sana Ila Mwezi Wa Ramadhwaan Anaacha Kisha Anarudia Tena Baadae Nini Hukmu Yake?
Anamrusha Roho Katika Harusi, Anataka Ugomvi Naye, Vipi Azuie Shari Zake?
Anaswali Na Kusoma Qur-aan Lakini Anapenda Kufanya Maasi
Anataka Kuishi Na Mchumba Wake Chumba Kimoja Kabla Ya Kuoana
Anaweza Kufuta Picha Za Ngono Katika Kompyuta Ya Mwenziwe Bila ya Ruhusa?
Dawa Gani Za Kurudisha Ubikra
Duaa Gani Kuomba Ya Kujiokoa Na Zinaa
Haifai Kutoa Mkono Kuamkiana Wanawake na Wanaume
Kuchangia Katika Harusi Yenye Maasi
Kuchora Au Kupiga Picha Za Viumbe Vyenye Roho
Kuchukua Video Kwenye Maharusi
Kuhudhuria Mwaliko Wa Krismasi Na Kupokea Zawadi Za Krismasi Inajuzu?
Kuhudhuria Sherehe Za Wanafunzi Zenye Mchanganyiko
Kujichua Sehemu Za Siri Au Kujisaga Nini Hukmu Yake?
Kujishika Sehemu Za Siri Na Kutazama Vitendo Vya Zinaa Ukapatwa Na Matamanio, Kunatengua Wudhuu?
Kujiua Kwa Sababu Ya Mateso Na Dhiki Za Dunia Nini Hukmu Yake?
Kula Dawa Kubadilisha Umbo Inafaa?
Kula Samaki Ijumaa Na Kukaribia Zinaa
Kuna Aina Ngapi Za Dhulma?
Kuomboleza Katika Misiba Kwa Kujipiga Na Kuchana Nguo
Kurudisha Bikra Au Kubadilisha Maumbile
Kusamehewa Madhambi Baada Ya Tawbah

Pages