Maswali Ya Swaum - Hukmu Za Swawm

Afuturu Jua Linapozama Au Afuate Ratiba Waliyopewa Japokuwa Jua Halijazama Kabisa?
Amefuturisha Watu Amezuliwa Kuwa Amesababisha Maasi; Afanyeje Na Ndugu Hawasemi Naye?
Amekhasimiana Na Mwenziwe, Je, Swawm Yake Sahihi?
Ametazama Sinema Chafu Akapatwa Hisia Je Swawm Yake Inakubalika?
Asiyekuwa Muislamu Kukualika Futari Inafaa Kuitikia Mwaliko?
Daku: Inafaa Kula Daku Siku Ya Mwanzo Kuamkia Ramadhwaan?
Daku: Nilikuwa Na Maji Kinywani Nikashtukizia Adhaana Ya Pili Ya Alfajiri Nikayameza Nini Hukmu?
Daku: Ufafanuzi Wa Wakati Wa Mwisho Wa Kula Daku
Daku: Wakati Wa Mwisho Wa Kula Daku
Deni: Kumlipia Mama Aliyefariki Deni La Swawm Ufafanuzi Wake
Deni: Mama Anaweza Kumlipia Mwanawe Deni La Swawm?
Deni: Mgonjwa Mwenye Deni La Swawm Ikiwa Anahitaji Kutumia Dawa Bila Kuacha Afanyeje?
Du'aa: Kuna Du'aa Sahihi Wakati Wa Kufuturu?
Du'aa: Kuna Du’aa Ya Kunuia Kwa Ajili Ya ‘Iyd
Fatwa ya Mufti Kuruhusu Kutokufunga Ramadhaan Kulinganisha Mpira na Jihadi
Fidia Asiyeweza Kufunga Anaweza Kulipa Baada Ya Ramadhwaan?
Fidia Ya Kutokufunga Ramadhwaan Zilizopita Kwa Sababu Ya Kushika Mimba
Fidia: Kulipa Fidia Kwa Ajili Ya Asiyeweza Swiyaam
Ghiybah (Kusengenya) Katika Mwezi wa Ramadhwaan Nini Hukmu Yake
Hedhi Haikujitokeza Kikamilifu Je, Swawm Inafaa Siku Hiyo?
Hedhi: Amepata Hedhi Karibu Magharibi Je Alipe Swawm?
Hedhi: Kafara Ya Swawm Miezi Miwili Mfululuzo Itimizwe Vipi Na Mwanamke Mwenye Hedhi?
Hilaal: Afuate Mwandamo Wa Mwezi Nchi Anayoishi Au Unapoandama Nchi Yoyote?
Hilaal: Kila Mji Ufuate Mwezi Unapoonekena Kwao Au Mwandamo Wa Kimataifa?
Hilaal: Kufuata Mwezi Wa Kitaifa Au Wa Kimataifa, Zamani Walipataje Khabari Za Mwandamo?
Hilaal: Kumfuata Mume Kwa Msimamo Wa Mwezi Wa Kitaifa
Hilaal: Kuonekana Kwa Mwezi Sehemu Tofauti Na Kuanza Swawm
Hilaal: Mwandamo Wa Mwezi Upi Sahihi Wa Kitaifa Au Kimataifa?
Hilaal: Mwezi Ulionekana Siku Moja Nchi Nyingine Mapema Zaidi Yetu Je, Tulipe Siku Hiyo?
Hilaal: Nilifunga Na Waliochelewa Kuanza Swawm Nikasafiri Nikafika Siku Ya ‘Iyd Niendelee Swawm?

Pages