Maswali Ya Hajj

Aingie Wapi Katika Ihraam Akiwa Anasafiri Kutoka Uingereza?
Aliyefariki Akihijiwa, Dhambi Zake Zitafutika Japo Hakuwahi Kutubia Alipokuwa Hai?
Amekufa Hajafanya Hajj Na Alikuwa Na Uwezo Wa Kufanya Lakini Akapuuzia’ Je, Anaweza Kulipiwa Hiyo Hajj Na Jamaa Zake?
Anataka Kuhiji Lakini Ana Deni La Nyumba Benki
Anaweza Kumfanyia Mzazi Aliyefariki Hajj?
Anaweza Kumlipia Mumewe Gharama Za Kwenda Hijjah?
Anaweza Kwenda Hajj Ikiwa Ana Deni La Swawm Za Ramadhwaan?
Atekeleze Fardhi Ya Hajj Kwanza Au Aoe?
Bandari Wanayotumia Mahujaji Saudia Inaitwaje?
Du'aa Gani Kuomba Unapokunywa Maji Ya Zamzam?
Fadhila Za Siku Ya ‘Arafah, Sababu Zake Na Tofauti Ya Nyakati Baina Ya Nchi
Hajj Itasihi Akiwa Na Uhasama Na Wengine?
Hijja Wanayopelekwa Watu Na Serikali Au Mialiko Ya Nje Inafaa?
Hijja Yake Imekubaliwa Ikiwa Amekwenda Bila Mahram?
Ikiwa Ana Ukhasama Na Jamaa Za Mumewe, Akienda Hijjah, Je Itakubaliwa Hijjah Yake?
Kuchelewesha Kusherehekea Sikukuu Ya ‘Iyd Kwa Ajili Ya Wasaa Inafaa?
Kuchukua Mkopo Kwa Ajili Ya Kumpeleka Mzazi Hajj Inafaa?
Kuchukua Mkopo Wa Ribaa Kwa Ajili Kwenda Hijjah Inafaa?
Kufanya Hajj Na Huku Familia Yake Inalishwa Na Serikali Ulaya; Hawakusema Serikalini Kuwa Wameoana
Kumfanyia ‘Umrah Baba Yake - Je Kuna Muda Fulani Wa Kungojea Baada Ya Kutekeleza Yeye Kwanza 'Umrah Yake?
Kumgharimia Mtu Hijjah Kabla Ya Kufanya Mwenyewe Inafaa?
Kumlipia Gharama Za Hijjah Mwanamke Aliyekuwa Na Mahusiano Naye Yasiyo Halali
Kumpeleka Hajj Mzazi Kwa Pesa Za Hawara
Kutumia Dawa Za Kuzuia Hedhi Wakati Wa Hijjah
Kuvaa Nguo Ya Kijani Katika Kutimiza Fardhi Ya Hajj Ni Sunnah?
Kuwagharimia Wazazi Kwenda Hajj Kabla Ya Kufanya Mwenyewe
Kuzuia Kukata Nywele Na Kukata Kucha Ni Kwa Familia Nzima Au Kwa Mtu Mmoja Anayechinja Au Kugharamia Uchinjaji?
Kwenda Hajj Na Wazazi Ikiwa Mume Hataki Inafaa?
Maulidi: Kuna Ushahidi Aliyerudi Hajj Asomewe Maulidi?
Mume Anaweza Kumlipia Mke Kufanya Hijjah. Kuna Sharti Zozote Zinazopaswa Kutimizwa?

Pages