Boga la kastadi

Boga la kastadi

Vipimo

Boga - 2Lb

Sukari - Nusu kikombe (ukipenda zaidi)

Hiliki - 1 Kijiko cha chai

Castard - 1 ½ Kijiko cha supu

Nazi - 2 Vikombe

 

Namna ya kutayarisha na kupika

  1. Ondoa maganda ya boga na ukate vipande vipande vya kaisi.
  2. Chemsha Boga  mpaka liwive kisha limwage maji.
  3. Changanya custard na nazi pamoja halafu mimina kwenye boga.
  4. Weka sukari na  hiliki kwenye boga.
  5. liwache lichemke kidogo.
  6. Subiri lipoe na kwa  tayari kuliwa.
Share