Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Shirki Ni Jinai Juu Ya Haki Ya Allaah (عز وجل)

 

Shirki Ni Jinai Juu Ya Haki Ya Allaah (عز وجل)

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:

 

“Allaah Haghufurii ushirikina kamwe (asipotubia mtu kabla ya mauti) kwani ni jinai juu ya haki ya Allaah, nayo ni  Tawhiyd." 

 

 

[Al-Qawl Al-Mufiyd Uk. 75]

Share