Imaam Ibn Taymiyyah: Tawhiyd Ni Mwanzo Na Mwisho Wa Dini, Dini Ya Ndani Na Nje

Tawhiyd Ni Mwanzo Na Mwisho Wa Dini, Dini Ya Ndani Na Nje

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Amesema Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)

 

 

“At-Tawhiyd ni mwanzo wa Dini na ni mwisho wa Dini na ni Dini ya ndani na ya nje pia.”

 

[Minhaajus-Sunnah (349)]

 

Share