004-Hiswnul-Muslim: Du’aa Unayomuombea Aliyevaa Nguo Mpya

Hiswnul-Muslim

004-Du’aa Unayomuombea Aliyevaa Nguo Mpya

www.alhidaaya.com

 

 

 

 Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

 

[7]

تُبْـلي وَيُـخْلِفُ اللهُ تَعَالى

Tubliy wa YukhlifuAllaahu Ta’aalaa

 

Itakwisha [kwa kuzeeka na kupasuka] na Allaah Atakupa nyingine[1]

 

 

 

[8]

اِلبَـس جَديـداً وَعِـشْ حَمـيداً وَمُـتْ شهيداً

Ilbas jadiydan wa ’ish hamiydan wamut shahiydaa

 

Vaa nguo mpya, na ishi hali ya kuwa ni mwenye kushukuru, na kufa hali ya kuwa ni shahidi [2]

 

 

 

[1]Hadiyth ya Abu Sa’iyd Al-Khudriyy (رضي الله عنه) - Abu Daawuwd (4/41), na angalia: Swahiyh Abi Daawuwd (2/760)

 

[2] Hadiyth ya ‘Abdullaah bin ‘Umar bin al-Khatwaab (رضي الله عنهما) - Ibn Maajah (2/1178), Al-Baghaawiy (12/14) na taz Swahiyh Ibn Maajah (2/275)

 

 

 

Share