050-Du'aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Kujikinga Kushindwa Hila, Kutokuwa Na Uvivu, Uoga, Ubahili, Kutokudhoofika, Adhabu Za Kaburi Fitnah Za Uhai Na Mauti

 

Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

Kujikinga Kutokana Na Kushindwa Hila, Kutokuwa Na Uvivu, Uoga,

Ubahili, Kutokudhoofika, Kinga Ya Adhabu Za Kaburi Na Fitnah Za Uhai Na Mauti

 

 Alhidaaya.com

 

 

050-Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako kutokana na kushindwa hila, na uvivu...

 

  

 اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنْ الْعَجْزِ وَالْكَسَلِ وَالْجُبْنِ وَالْبُخْلِ وَالْهَرَمِ وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ عَذَابِ الْقَبْرِ وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ فِتْنَةِ الْمَحْيَا وَالْمَمَاتِ

 

Allaahumma inniy a’uwdhu bika minal-‘ajzi wal-kasali, wal-jubni wal-bukhli, wal-harami wa a’uwdhu bika min ‘adhaabil-qabri, wamin fitnatil-mahyaa wal-mamaati

 

Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako kutokana na kushindwa hila, na kutokuwa na uvivu, na uoga, na ubahili, na kutokudhoofika [kutokana na uzee], na najikinga Kwako adhabu ya kaburi na najikinga Kwako fitnah za uhai na mauti

 

[Al-Bukhaariy, Muslim]

 

 

 

Share