Imaam Ibn Al-Qayyim: Uislamu Wa Uhakika Ni Ghariyb (Mgeni) Pamoja Na Watu Wake

Uislamu Wa Uhakika Ni Ghariyb (Mgeni) Pamoja Na Watu Wake

 

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Uislamu wa uhakika ni ghariby (mgeni/usiojulikana) mno, na watu wake ni Ghurabaa (wageni); wa ajabu  mno baina ya watu.”

 

 

[Madaarij As-Saalikiyn (3/148)]

 

Share