033-Hiswnul-Muslim: Du’aa Baada Ya Salaam Katika Swalaah Ya Witr

Hiswnul-Muslim

033-Du’aa Baada Ya Salaam Katika Swalaah Ya Witr

www.alhidaaya.com

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

 [119]

 

Mwisho kabisa baada ya kumaliza Swalaah yote na sio baada ya kila Rakaa mbili au nne. Mtu aseme:

 

سُـبْحانَ المَلِكِ القُدّوسِ

Subhaanal-Malikil-Qudduwsi (mara tatu).

 

Utakasifu ni wa Allaah Mfalme, Mtakatifu

 

Ya tatu yake aivute kwa sauti yake na huku akisema:

 

(ربِّ الملائكةِ والرّوح)

 Rabbil-Malaaikati war-Ruwh

 

Ee Rabb wa Malaika na wa Jibriyl[1]

 

[1]Hadiyth ya ‘Abdur-Rahmaan bin Abzay (رضي الله عنه)- An-Nasaaiy (3/244), Ad-Daaraqutwniy na wengineo, na ilivyo katika mabano ni ziada ya Ad-Daaraqutwniy (2/31), na isnadi yake Swahiyh. Angalia: Zaad Al-Ma’aad kwa tahqiyq ya Shu’ayb Al-Arnaawutw, na ‘Abdul-Qaadir Al-Arnaawutw (1/337)

 

 

Share