102-Hiswnul-Muslim:Kusema Allaahu Akbar, Subhaana Allaah Wakati Wa Kupanda Na Kushuka Mlima

Hiswnul-Muslim

102-Kusema Allaahu Akbar, Subhaana Allaah

Wakati Wa Kupanda Na Kushuka Mlima

www.alhidaaya.com

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

[214]

 

Imepokewakutoka kwa Jaabir (رضي الله عنه) amesema: ‘Tulikuwa tukipanda mlima tunasema:

 

اللهُ أَكْـبَر

Allaahu Akbar

 

Allaah ni Mkubwa

 

 

Na tukishuka tunasema:

 

سُبْـحانَ الله  

 

Subhaana-Allaah

 

Utakasifu ni wa Allaah[1]

 

 

 

 

 

 

[1] Al-Bukhaariy pamoja na Al-Fat-h (6/135) [2993]

 

 

Share