105-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Msafiri Akirudi Kutoka Safarini

Hiswnul-Muslim

105-Du’aa Ya Msafiri Akirudi Kutoka Safarini

www.alhidaaya.com

 

 

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

[217]

 

اللّهُ أَكْـبَر، اللّهُ أَكْـبَر، اللّهُ أَكْـبَر

Allaahu Akbar, Allaahu Akbar, Allaahu Akbar

 

Allaah ni Mkubwa, Allaah ni Mkubwa, Allaah ni Mkubwa.

 

Kisha sema:

 

لا إلهَ إلاّ اللّهُ وَحْـدَهُ لا شريكَ لهُ، لهُ الملكُ ولهُ الحَمْد، وهُوَ على كُلّ شَيءٍ قَـدير، آيِبـونَ تائِبـونَ عابِـدونَ لِرَبِّـنا حـامِـدون، صَدَقَ اللهُ وَعْـدَه، وَنَصَـرَ عَبْـدَه، وَهَزَمَ الأَحْـزابَ وَحْـدَه.

 

Laa ilaaha illa Allaahu Wahdahu laa shariyka Lah. Lahul-Mulku walahul-Hamd, wa Huwa ’alaa kulli shay-in Qadiyr.  Aaibuwna, taaibuwna, ’aabiduwna li-Rabbinaa haamiduwna. Swadaqa-Allaahu Wa’dahu, wa Naswara ’Abdahu, wa Hazzamal-ahzaaba Wahdahu

 

 

Hapana mwabudiwa wa haki ila Allaah, hali ya kuwa Peke Yake, wala hana mshirika. Ufalme ni Wake, na Himdi ni Zake, na Yeye juu ya kila kitu ni Muweza. Tunanarudi hali ya kuwa tunatubia, tunaabudu, na Rabb wetu tunamsifu. Amesadikisha Allaah ahadi Yake, na Amemnusuru mja Wake, na Amevishinda vikosi peke Yake[1]

 

 

 

[1] Imepokewa kutoka  kwa Ibn `Umar (رضي الله عنه) kwamba Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وسلم) alikuwa akirudi vitani au kutoka Hijjah katika kila akipanda mlima akisema hivyo. Al-Bukhaariy (7/163) [1797], Muslim (2/980) [1344].

 

 

 

Share