112-Hiswnul-Muslim: Du’aa Unayomuombea Uliyemtukana

Hiswnul-Muslim

112-Du’aa Unayomuombea Uliyemtukana

www.alhidaaya.com

 

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

[230]

 

 

قال رسول اللّه صلى اللّه عليه وسلم‏:‏‏ ((اللَّهُمَّ فَأَيُّمَا مُؤْمِنٍ سَبَبْتُهُ فَاجْعَلْ ذَلِكَ لَهُ قُرْبَةً إِلَيْكَ يَوْمَ الْقِيَامَة ))

Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وسلم) amesema:

 

”Allaahumma faayyumaa Mu-uminin sababtuhu, Faj’-al dhaalika lahu qurbatan Ilayka Yawmal-Qiyaamah

 

Ee Allaah kwa Muislamu yoyote yule niliyemtukana basi fanya kwa hilo (liwe jambo) litakalomkurubisha Kwako (ni thawabu kwake) siku ya Qiyaamah[1]

 

 

 

[1]Hadiyth ya Abu Hurayrah  (رضي الله عنه) - Al-Bukhaariy pamoja na Al-Fat-h (11/171) [6361],  Muslim (4/2007) [2601] na tamshi lake ((Basi ijaalie kwake iwe utakaso na Rehma).

 

 

Share