127-Hiswnul-Muslim: Inavyopaswa Kusema Wakati Wa Kuchinja

Hiswnul-Muslim

127-Inavyopaswa Kusema Wakati Wa Kuchinja

www.alhidaaya.com

 

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

[246]

 

بِسْمِ اللهِ واللهُ أَكْبَرُ (اللَّهُمَّ مِنْكَ ولَكَ) اللَّهُمَّ تَقَبَّلْ مِنِّي

 

BismiLLaah wa Allaahu Akbar. Allaahumma Minka walaka, Allaahumma Taqabbal minniy

 

Kwa jina la Allaah na Allaah ni Mkubwa (Ee Allaah huyu (mnyama) anatoka Kwako na ni Wako), Ee Allaah nitakabalie[1] 

 

 

 

[1]

 

بِسْمِ اللهِ واللهُ أَكْبَرُ

BismiLLaah Allaahu Akbar

 

ni Hadiyth ya Hadiyth ya Anas bin Maalik (رضي الله عنه) .

اللَّهُمَّ مِنْكَ ولَكَ

Allaahumma minka walaka

 

ni Hadiyth ya Jaabir bin ‘Abdillaah (رضي الله عنهما)  Muslim (3/1557), Al-Bayhaqiy (9/287) na yaliyo katika mabano imeishia kwa Bayhaqiy (9/287) na wengineo na ibara ya mwisho kutoka katika riwaayah ya Muslim.

 

 

 

 

 

Share