124-Hiswnul-Muslim: Jambo La Kufanya Na Kuomba Du’aa Anaposikia Maumivu

Hiswnul-Muslim

124-Jambo La Kufanya Na Kuomba Du’aa Anaposikia Maumivu

www.alhidaaya.com

 

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

[243]

 Weka mkono wako juu ya sehemu inayokuuma na kisha useme:

بِسْمِ الله

BismiLLaah (mara 3)

 Kwa jina la Allaah    

Kisha useme mara saba:

  أَعُوذُ بِاللَّهِ وَقُدْرَتِهِ مِنْ شَرِّ مَا أَجِدُ وَأُحَاذِرُ

A’uwdhu biLLaahi wa Qudratihi min sharri maa ajidu wa uhaadhiru

 

Najikinga kwa Allaah na kwa uwezo Wake kutokana na shari ya ninachokisikia na ninachokitahadhari nacho[1]

 

 

 

[1]Hadiyth ya ‘Uthmaan bin abi Al-‘Aasw (رضي الله عنه) - Muslim (4/1728) [2202],  Ibn Maajah na wengineo kwa usimulizi tofauti kidogo

Share