Kauli Za Salaf: Aadab-Maadili
Kunyamaza Kimya Ni Aina Ya Hikmah
Abuu Dardaa (Radhwiya-Allaahu ‘anhu)
Swahabi Abuu Dardaa (Radhwiya-Allaahu ‘anhu) alisema:
“Kunyamaza kimya ni aina ya hikmah, lakini ni watu wachache mno wanaoifanyia kazi.”
[Jaami' Bayaan Al-‘Ilm (628)]