Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Nasaha Kwa Wanafunzi Kuacha Kibri Na Jeuri Kwa Elimu Waliyokuwa Nayo

 

Nasaha Kwa Wanafunzi Kuacha Kibri Na Jeuri Kwa Elimu Ndogo Waliyokuwa Nayo

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Baadhi ya watafutaji elimu (wanafunzi) hivi sasa (zama hizi) wana ususuavu kuliko hata Mabedui.

 

Hana bashasha, wala kusalimia, wala unyenyekevu.

 

Bali baadhi ya watu, kila anapozidi kuwa na elimu ndipo huzidi kiburi -Allaah Atukinge-.

 

Na Msomi (Mwenye elimu) wa kweli ni yule ambaye kila anapozidi kuwa na elimu ndipo huzidi kuwa na unyenyekevu."

 

 

[Liqaau Al-Baab Al-Maftuwh, 232]

 

 

 

 

 

Share