Shaykh Fawzaan: Maulidi: Chakula Kinachoandaliwa Katika Hafla Ya Maulidi Haikujuzu Kuliwa

 

Chakula Kinachoandaliwa Katika Hafla Ya Mawlid Haikujuzu Kuliwa

 

Shaykh Swaalih bin Fawzaan Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Amesema Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

 

 

“Chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya Mawlid ni haraam kukila, kwa sababu hakikuandaliwa chakula hicho ila kwa ajili ya kuhuisha Bid-‘ah (jambo la uzushi). Kwa hiyo haifai kushirikiana nao, wala kula chakula chao kwenye siku hiyo, kwa sababu tendo la kushirikiana nao ama kula chakula chao, ni kuwapa nguvu kuwasaidia na kukiri juu ya jambo lao la uzushi wanalolifanya.”

 

 

 [Fataawaa Shaykh Swaalih Bin-Fawzaan Al-Fawzaan: Swawtiyaat Sabab Tahriym Twa’aam Al-Bid’ah Ka-Bid’ah Al-Mawlid An-Nabawiy]             

 

 

 

 

 

Share