Swahaba Wepi Waliohudhuria Mazishi Ya Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)?

SWALI:

 

A/A. Ni ngependa kufahamisha waliohudhuria mazishio ya mtume (s.a.w) miongoni mwa maswahaba.

 


 

JIBU:

 

 

Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.

 

 

Shukrani kwa swali lako kuhusu waliohudhuria mazishi ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam).

 

Hakika ni kuwa Maswahaba wote (Radhiya Allaahu ‘anhum) waliokuwa Madiynah wakati huo walihudhuria mazishi ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kwa kumswalia kwa zamu.

 

 

 

Na Allaah Anajua zaidi

 

Share