Skip to main content

Imaam Ibn Taymiyyah: Ukiwa Hupati Utamu Wa Iymaan, Omba Maghfirah

Ukiwa Hupati Utamu Wa Iymaan, Omba Maghfirah

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)



Alhidaaya.com

Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah) amesema:

"Ambaye anaona kifua chake hakifunguki na hakipati utamu wa Iymaan na Nuru ya hidaaya, basi azidishe kuomba tawbah na maghfirah."

[Al-Fataawa Al-Kubraa, 5/62]