Skip to main content

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Hatukuja Hapa Kuishi Kama Wanyama

Hatukuletwa Duniani Kuishi Kama Wanyama

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

Alhidaaya.com



Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:

"Hatukuja kuishi katika haya maisha ya dunia  kama wanavyoishi wanyama; tule, tunywe na kulala tu. Bali, tumekuja hapa duniani ili kujiandaa na kutanguliza ('amali za) Aakhirah."

[Sharh Al-Kaafiyah Ash-Shaafiyah Fiy Intiswaar Lil Firqat An-Naajiyah, 4/379]