Imaam Ibn Taymiyyah: Usalafi Ndio Haki

 
Usalafi Ndio Haki
 
Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
 
 
 
 
Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
 
 
"Na wala si aibu kwa yule mwenye kudhihirisha Madh-hab ya Salaf na akajinasibisha nayo na akajihusisha nayo. Bali inapasa kukubaliana naye kwa makubaliano, kwani hakika Madh-hab ya Salaf haiwi isipokuwa ni Haki."
 
 
[Majmuw' Al-Fataawaa, mj. 4, uk. 149]
 
Share