Al-Lajnah Ad-Daaimah: Je, Kundi La Shia Ithnaa 'Ashariyyah Lipo Katika Uislamu?

 

Je, Kundi La Shia Imaamiyyah (Shia Ithnaa 'Ashariyyah  

(Mashia Wanaofuata Maimaam 12) Lipo Katika Uislamu?

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com

 

 

SWALI:

 

Je, Shia Imaamiyyah ni katika dhehebu la Uislamu? Nani aliyeliunda? Kwa sababu, wao, yaani Mashia, wananasibisha dhehebu lao kwa ‘Aliy (Radhwiya Allaahu ‘anhu).

 

 

JIBU:

 

Madhehebu ya Shia Imaamiyyah ni dhehebu lililozushwa ambalo limehusishwa (kunasibishwa na kupachikwa) ndani ya Uislamu.

 

Tunakushauri kusoma kitabu cha Al-Khutwuwtw Al-‘Ariydhwah na Mukhtasar At-Tuhfah Al-Ithnaa ‘Ashariyyah na Minhaaj As-Sunnah vya Shaykh Al-Islaam (Ibn Taymiyah), ambavyo vinaeleza mengi kuhusiana na uzushi wao.

 

 

[Fataawa Al-Lajnah Ad-Daaimah (2/377)]

 

‘Abdul-‘Aziyz bin ‘Abdilllaah bin Baaz (Mwenyekiti)

‘Abdur-Razzaaq ‘Afiyfiy (Mjumbe)

‘Abdullaah bin Ghadyaan (Mjumbe)

 

 

 

 

Share