09-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Imemjia Hedhi Baada Ya Magharibi Kabla Ya ‘Ishaa Swawm Yake Sahihi?

Imemjia Hedhi Baada Ya Magharibi Kabla Ya ‘Ishaa Swawm Yake Sahihi?

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com

 

 

SWALI:

Inapokuwa mwezi wa Ramadhwaan baada ya kufuturu na baada ya Swalaah ya ‘Ishaa imemjia hedhi; je, alipe siku hiyo au swawm yake sahihi?

 

 

JIBU:

 

Swawm ya ambaye imemjia hedhi baada ya Magharibi na kabla ya Swalaah ya ‘Ishaa ni sahihi swawm yake aliyofunga siku hiyo wala haimwajibikii kuilipa.

 

 

Wa bi-LLaahi At-Tawfiyq wa Swalla Allaahu ‘alaa Nabiyyinaa Muhammad wa ‘alaa Aalihi wa Swahbihi wa sallam

 

 

[Fataawaa Al-Lajnah Ad-Daaimah (14043)]

 

 

Share