08-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Imemjia Hedhi Muda Mdogo Tu Kabla Ya Adhaan Ya Magharibi

Imemjia Hedhi Muda Mdogo Tu Kabla Ya Adhaan Ya Magharibi

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com

 

 

SWALI:

 

Ikiwa amefunga kisha wakati wa Magharibi kabla ya muda mdogo tu na kabla ya Adhaan imemjia hedhi je swawm yake itakuwa imeharibika?

 

JIBU:

 

Ikiwa hedhi imemjia kabla ya Magharibi swawm yake itakuwa imebatilika na itampasa ailipe, ama ikiwa baada ya Magharibi basi swawm yake ni sahihi wala hahitaji kuilipa.

 

Wa bi-LLaahi At-Tawfiyq wa Swalla Allaahu ‘alaa Nabiyyinaa Muhammad wa ‘alaa Aalihi wa Swahbihi wa sallam

 

[Fataawaa Al-Lajnah Ad-Daaimah 10/155]

 

 

Share