Ghiybah Ikidhihiri Undugu Kwa Ajili Ya Allaah Unapotea Imaam Fudhwayl Bin ‘Iyaadhw (Rahimahu Allaah) www.alhidaaya.com G"hiybah inapodhihiri, undugu kwa ajili ya Allaah hupotea." [Hilyatu Al-Awliyaa (886)]