Al-Lajnah Ad-Daa'imah: Anayesema Jibriyl Alikosea Kumteremkia Nabiy Muhammad Badala Ya ‘Aliy Ni Kafiri

Anayesema Jibriyl Alikosea Kumteremkia Nabiy Muhammad صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ 

Badala Ya ‘Aliy (رضي الله عنه) Ni Kafiri

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com

 

 

SWALI:

 

Nini hukmu kuhusu ya Mashia khasa wale wanaosema kuwa ‘Aliy (ibn Abiy Twaalib Radhwiya Allaahu ‘anhu) ana daraja ya Unabiy na kwamba Jibriyl ('Alayhis-Salaam) alikosea kumteremshia Wahyi Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)”

 

JIBU:

 

 Mashia wako makundi mbali mbali.  Atakayesema miongoni mwao kuamini kwamba ‘Aliy (Radhwiya Allaahu 'anhu) ana daraja ya Unabiy na kwamba Jibriyl  ('Alayhis-Salaam) amekosea kumteremkia Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam), basi yeye ni kafiri.

 

Fataawa Al-Lajnah Ad-Daaimah lil-Buhuwth Al-'Ilmiyyah wal-Iftaa. [(2/376)]

 

 

 

Share