Imaam Ibn Rajab: Maana Ya “Muhifadhi Allaah, Naye Atakuhifadhi”

Maana Ya “Muhifadhi Allaah, Naye Atakuhifadhi”

 

Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Muhifadhi Allaah, Atakuhifadhi, maana yake; hifadhi haki Zake. Na kubwa kabisa linalopaswa kuhifadhiwa ni Swalaah, kama Alivyosema Allaah (Ta’aalaa): Na ambao kwenye Swalaah zao ni wenye kuhifadhi.” [Al-Ma’aarij: 34]”

 

 

[Jaami’u Al-‘Uluwm Wal-Hikam, uk. 549]

 

 

Share