Uboreshaji Wa Tarjama Ya Maana Ya Qur-aan Ya Kusikiliza Na Kusoma

 

Uboreshaji Wa Tarjama Ya Qur-aan Ya Kusikiliza Na Kusoma

 

Bonyeza 

 

 

AlhamduliLLaah - Himdi Anastahiki Allaah, Tunamshukuru kutujaalia tawfiyq ya kufanya yafuatayo katika Tarjama ya Maana Ya Qur-aan ya kusikiliza na kusoma:

 

1-Unaweza sasa kubonyeza kifungo kimoja tu ukasikiliza Suwrah nzima utakayochagua.

 

2-Tumeongeza wasomaji weledi wa Qur-aan kama Shaykh 'Aliy bin 'Abdir-Rahmaan Al-Hudhayfiy (Hafidhwahu-Allaah) ambaye ni Imaam wa Masjid An-Nabawiy, Madiynah na pia Shaykh Muhammad bin Ayyuwb (Rahimahu Allaah) na tutazidi kuongeza wasomaji wengine kwa Uwezo wa Allaah. 

 

3-Tumeboresha tools (zana) kadhaa humo ili kukuwepesisha kuchagua, kusikiliza, kusoma na kunufaika kujifunza maana ya Aayah. 

 

Tutashukuru kutanabahishwa lolote litakaloboresha zaidi kazi hii tukufu au kosa lolote lile litakalopatikana ili turekebishe.

 

WabiLLaah At-Tawfiyq

 

Tarjama Ya Maana Ya Qur-aan Ya Kusikiliza Na Kusoma 

 

Share