Imaam Ibn Taymiyyah: Kila Shari, Fitnah, Balaa Ni Sababu Ya Kukhalifu Sunnah Na Shirki

 

 

 Kila Shari Ulimwenguni Na Fitnah Na Balaa Ni Kwa Sababu Ya Kukhalifu Sunnah Na Shirki (Ya Kulingania Kwa Asiyekuwa Allaah)

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Amesema Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah): 

 

"Na kila shari ulimwenguni na fitnah na balaa na ukame na njaa na kusalitishiwa adui na mengine yasiyokuwa hayo, ni kwa sababu ya kukhalifu Sunnah ya Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi sallam) au kulingania kwa asiyekuwa Allaah."

 

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (15/65)]

 

 

Share