Imaam Ash-Shaatwibiy: Bid’ah Itakapokithiri, Wajinga Wataona Ni Jambo La Haki

Bid’ah  Itakapokithiri, Wajinga Wataona Ni Jambo La Haki

 

Imaam Ash-Shaatwiby (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Amesema Imaam Ash-Shaatwiby (Rahimahu Allaah):

 

“Bid’ah na mikhalafaat itakapokithiri na watu wakashirikiana juu ya hayo (maovu), basi (itafikia wakati) mjinga (ataona bid'ah ndio Sunnah) atasema: “Kama ungekuwa huu ni munkar (ovu) basi wasingefanya watu.”

 

 

[Al-I’tiswaam (2/271)]

 

 

Share