Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kumpendelea Nduguyo Muumini Unayojipendelea Nafsi Yako

Kumpendelea Nduguyo Muumini  Unayojipendelea Nafsi Yako

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn  (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

“Ikiwa humpendelei nduguyo (Muumin) kile ambacho unajipendelea nafsi yako, basi jua kwamba unaelekea katika miongoni mwa madhambi makubwa."

 [Fat-hu Dhil-Jalaali Wal-Ikraam (3536)]