Imaam Ibn Al-Qayyim: Hakuna 'Ibaadah Maalumu Inayofungamana Na Mwezi Wa Rajab Wala Tukio La Israa Wal Mi'raaj

 

Hakuna 'Ibaadah Maalumu Inayofungamana Na Mwezi Wa Rajab

Wala Tukio La Israa Wal Mi'raaj

 

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema:     

''Hakuna ushahidi ulio wazi wa kuwa ni mwezi au tarehe gani tukio hili lilitokea. Kuna taarifa nyingi kuhusiana na jambo hili (kuwa lilifanyika mwezi huu wa Rajab au tarehe 27) lakini hakuna hata moja katika taarifa hizo yenye uamuzi kamili na sahihi. Na hakuna 'ibaadah zozote maalum zenye kufungamana nayo.'' [Za’aad Al-Ma’aad]

 

 

Share