Skip to main content

Hiswnul-Muslim: Du’aa Na Adhkaar Kusoma Na Kwa Kusikiliza (Toleo Lilohaririwa)082-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Wakati Mtu Anapoghadhibika

Hiswnul-Muslim

082-Du’aa Ya Wakati Mtu Anapoghadhibika

www.alhidaaya.com

Bonyeza Hapa Usikilize

[193]

أَعـوذُ بِاللهِ مِنَ الشَّيْـطانِ الرَّجيـم

A’uwdhu biLLaahi minash-shaytwaanir-rajiym

Najikinga kwa Allaah kutokana na shaytwaan aliyeepushwa na kuwekwa mbali na Rehma za Allaah[1]

 

[1]Hadiyth ya Sulaymaan bin Swuradi -(رضي الله عنه)    - Al-Bukhaariy (7/99) [6048], Muslim (4/2015) [2610].